bible.software › Daniel › Daniel 6 › Daniel 6:11
Daniel 6:11
Ndipo watu hawa wakaenda kama kikundi na kumkuta Danieli akiomba na kumsihi Mungu kwa ajili ya msaada.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then these men assembled, and found Daniel praying and making supplication before his God.
In Context
10Basi Danieli alipofahamu kuwa amri ile imetangazwa, alikwenda nyumbani kwenye chumba chake cha ghorofani ambako madirisha yalifunguka kuelekea Yerusalemu. Akapiga magoti na kuomba mara tatu kwa siku, akimshukuru Mungu wake kama alivyokuwa akifanya mwanzoni.
12Basi wakaenda kwa mfalme na kusema naye kuhusu amri ya mfalme: “Je, hukutangaza amri kwamba kwa muda huu wa siku thelathini zijazo mtu yeyote ambaye atamwomba mungu au mwanadamu yeyote isipokuwa wewe, ee mfalme, angetupwa ndani ya tundu la simba?” Mfalme akajibu, “Amri ndivyo ilivyo, kulingana na sheria za Wamedi na Waajemi, ambazo haziwezi kubatilishwa.”
Read all of Daniel 6
Cross References
Psalms 10:9Huvizia kama simba aliye mawindoni; 2 huvizia kumkamata mnyonge, 1 huwakamata wanyonge na kuwaburuza 2 katika wavu wake. 1
Psalms 37:32Watu waovu huvizia wenye haki, 2 wakitafuta kuwaua; 1
Jeremiah 51:50Wewe uliyepona upanga, 2 ondoka wala usikawie! 1 Mkumbuke Bwana ukiwa katika nchi ya mbali, 2 na utafakari juu ya Yerusalemu.” 1
This Verse In Other Editions
Study Daniel 6:11