Daniel 7:15
“Mimi, Danieli, nilipata mahangaiko rohoni, nayo maono yale yaliyopita ndani ya mawazo yangu yalinisumbua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I Daniel was grieved in my spirit in the midst of my body, and the visions of my head troubled me.
In Context
Cross References
Genesis 41:8Asubuhi yake, alifadhaika akilini, hivyo akawaita waaguzi wote pamoja na watu wenye busara wa Misri. Walipokuja, Farao akawaeleza ndoto zake, lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kumfasiria.
Jeremiah 17:16Sijakukimbia na kuacha kuwa mchungaji wako; 2 unajua sijaitamani siku ya kukata tamaa. 1 Kile kipitacho midomoni mwangu 2 ki wazi mbele yako. 1
Daniel 2:3akawaambia, “Niliota ndoto inayonisumbua, nami nataka nijue maana yake.”
Daniel 4:19Ndipo Danieli (aliyeitwa pia Belteshaza) alipofadhaika sana kwa muda, nayo mawazo yake yakamtia hofu. Basi mfalme akasema, “Belteshaza, usiruhusu ndoto wala maana yake kukutia hofu.” Belteshaza akamjibu, “Bwana wangu, laiti ndoto hii ingehusu adui zako, na maana yake iwahusu watesi wako!
Daniel 7:28“Huu ndio mwisho wa jambo lile. Mimi Danieli nilitaabika sana katika mawazo yangu, nao uso wangu ukabadilika, lakini nililiweka jambo hilo moyoni mwangu.”
Habakkuk 3:16Nilisikia na moyo wangu ukagonga kwa nguvu, 2 midomo yangu ikatetemeka kwa hofu niliposikia sauti; 1 uchakavu ukanyemelea mifupa yangu, 2 na miguu yangu ikatetemeka. 1 Hata hivyo nitasubiri kwa uvumilivu siku ya maafa 2 kuyajilia mataifa yaliyotuvamia. 1