Kumbukumbu 1:18
Nami wakati ule niliwaambia kila kitu ambacho mngefanya. 1 Wapelelezi Wanatumwa (Hesabu 13:1-33)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I commanded you at that time all the things which ye should do.
In Context
Cross References
Deuteronomy 4:5Tazama, nimewafundisha amri na sheria kama Bwana Mungu wangu alivyoniamuru mimi, ili mzifuate katika nchi mnayoiingia kuimiliki.
Deuteronomy 12:28Mwe waangalifu kutii masharti haya yote ninayowapa, ili kwamba siku zote mweze kufanikiwa, ninyi pamoja na watoto wenu baada yenu, kwa sababu mtakuwa mkifanya lililo jema na sahihi mbele za macho ya Bwana Mungu wenu.
Matthew 28:20nanyi wafundisheni kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi. Hakika mimi niko pamoja nanyi siku zote, hadi mwisho wa nyakati.”
Acts 20:27Kwa kuwa sikusita kuwatangazia mapenzi yote ya Mungu.