bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 1 › Kumbukumbu 1:20
Kumbukumbu 1:20
Kisha niliwaambia, “Mmefika katika nchi ya vilima ya Waamori, ambayo Bwana Mungu wetu anatupa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And I said unto you, Ye are come unto the mountain of the Amorites, which the LORD our God doth give unto us.
In Context
19Kisha, kama Bwana Mungu wetu alivyotuamuru, tuliondoka kutoka Horebu na kwenda kuelekea nchi ya vilima ya Waamori, kupitia jangwa lile kubwa lote la kutisha, lile mliloliona, nasi tukafika Kadesh-Barnea.
21Tazama, Bwana Mungu wenu amewapa nchi. Pandeni mkaimiliki kama Bwana, Mungu wa baba zenu, alivyowaambia. Msiogope, wala msikate tamaa.”
Read all of Kumbukumbu 1
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 1:20