bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 1 › Kumbukumbu 1:22
Kumbukumbu 1:22
Ndipo ninyi nyote mkanijia na kusema, “Tupeleke watu watutangulie kuipeleleza nchi kwa ajili yetu, na kutuletea taarifa kuhusu njia tutakayopita, na miji tutakayoiendea.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And ye came near unto me every one of you, and said, We will send men before us, and they shall search us out the land, and bring us word again by what way we must go up, and into what cities we shall come.
In Context
21Tazama, Bwana Mungu wenu amewapa nchi. Pandeni mkaimiliki kama Bwana, Mungu wa baba zenu, alivyowaambia. Msiogope, wala msikate tamaa.”
23Wazo hilo lilionekana zuri kwangu; kwa hiyo niliwachagua watu wenu kumi na wawili, mwanaume mmoja kutoka kila kabila.
Read all of Kumbukumbu 1
Cross References
Numbers 13:1Bwana akamwambia Mose,
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 1:22