The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 1 › Kumbukumbu 1:26

Kumbukumbu 1:26

Lakini hamkuwa tayari kukwea, mkaasi dhidi ya amri ya Bwana Mungu wenu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Notwithstanding ye would not go up, but rebelled against the commandment of the LORD your God:

In Context

25Wakachukua baadhi ya matunda ya nchi, wakatuletea na kutuarifu, “Ni nchi nzuri ambayo Bwana Mungu wetu anatupa.” 1 Uasi Dhidi Ya Bwana (Hesabu 14:20-45)

27Mkanungʼunika ndani ya mahema yenu na kusema, “ Bwana anatuchukia, kwa hiyo alitutoa Misri ili kututia mikononi mwa Waamori kutuangamiza.

Read all of Kumbukumbu 1

Cross References

Numbers 14:1Usiku ule watu wote wa jumuiya walipaza sauti zao na kulia kwa sauti kuu.

Psalms 106:24Kisha waliidharau ile nchi nzuri, 2 hawakuiamini ahadi yake. 1

Acts 7:51“Enyi watu wenye shingo ngumu, msiotahiriwa mioyo wala masikio, daima hamwachi kumpinga Roho Mtakatifu, kama walivyofanya baba zenu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 1:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 1:25Kumbukumbu 1Kumbukumbu 1:27 →