Kumbukumbu 1:5
Huko mashariki ya Yordani katika nchi ya Moabu, Mose alianza kuielezea sheria hii, akisema:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
On this side Jordan, in the land of Moab, began Moses to declare this law, saying,
In Context
6Bwana Mungu wetu alisema nasi huko Horebu, “Mmekaa vya kutosha katika mlima huu.
Cross References
Deuteronomy 4:44Hii ndiyo sheria Mose aliyoweka mbele ya Waisraeli.
Deuteronomy 17:18Atakapokuwa amekalia kiti cha ufalme wake, ajiandikie kwenye kitabu nakala ya sheria kwa ajili yake mwenyewe kutoka zile sheria za makuhani ambao ni Walawi.
Deuteronomy 32:46akawaambia, “Yawekeni moyoni maneno yote ambayo nimewatangazia kwa makini siku hii ya leo, ili kwamba mpate kuwaagiza watoto wenu wayatii kwa bidii maneno yote ya sheria hii.