bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 10 › Kumbukumbu 10:7
Kumbukumbu 10:7
Kutoka pale, walisafiri hadi Gudgoda wakaendelea mpaka Yotbatha, nchi yenye vijito vya maji.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
From thence they journeyed unto Gudgodah; and from Gudgodah to Jotbath, a land of rivers of waters.
In Context
6(Waisraeli walisafiri kutoka visima vya Yaakani hadi Mosera. Huko Aroni alifariki na kuzikwa, naye Eleazari mwanawe akachukua nafasi yake kama kuhani.
8Wakati huo Bwana aliteua kabila la Lawi kulibeba Sanduku la Agano la Bwana, kusimama mbele za Bwana ili kutoa huduma, na kutangaza baraka kwa Jina lake, kama wanavyofanya mpaka leo.
Read all of Kumbukumbu 10
Cross References
Numbers 33:32Wakaondoka Bene-Yakani na kupiga kambi huko Hor-Hagidgadi. 1
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 10:7