bible.software › Deuteronomy › Deuteronomy 13 › Deuteronomy 13:7
Deuteronomy 13:7
miungu ya watu wanaowazunguka, ikiwa karibu au mbali, kutoka mwisho mmoja wa nchi mpaka mwingine),
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Namely, of the gods of the people which are round about you, nigh unto thee, or far off from thee, from the one end of the earth even unto the other end of the earth;
In Context
6Kama ndugu yako hasa, au mwanao au binti yako, au mke umpendaye, au rafiki yako wa karibu sana akikushawishi kwa siri, akisema, “Na twende tukaabudu miungu mingine” (miungu ambayo ninyi wala baba zenu hamkuifahamu,
8usikubali wala usimsikilize. Usimhurumie! Usimwache wala usimkinge.
Read all of Deuteronomy 13
Cross References
Deuteronomy 6:14Usifuate miungu mingine, miungu ya mataifa yanayokuzunguka;
2 Chronicles 22:3Ahazia naye akaenenda katika njia za nyumba ya Ahabu, kwa sababu mama yake alimshawishi katika kutenda maovu.
This Verse In Other Editions
Study Deuteronomy 13:7