bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 14 › Kumbukumbu 14:6
Kumbukumbu 14:6
Mnaweza kumla mnyama yeyote mwenye kwato zilizogawanyika mara mbili, pia yule anayecheua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And every beast that parteth the hoof, and cleaveth the cleft into two claws, and cheweth the cud among the beasts, that ye shall eat.
In Context
5kulungu, paa, kongoni, paa mweupe, mbuzi-mwitu, pofu na kondoo wa mlimani.
7Hata hivyo, miongoni mwa wale wanaocheua au wale walio na kwato zilizogawanyika kamwe msile ngamia, sungura na pelele. Iwapo wanacheua, lakini hawana kwato zilizogawanyika; ni najisi kwenu kwa taratibu za kiibada.
Read all of Kumbukumbu 14
Cross References
Proverbs 18:1Mtu ajitengaye na wengine 2 hufuata matakwa yake mwenyewe; 2 hupiga vita kila shauri jema. 1
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 14:6