Kumbukumbu 17:14
Wakati utakapoingia katika nchi anayowapa Bwana Mungu wenu kuimiliki na kukaa humo, nanyi mkasema, “Na tumweke mfalme juu yetu kama mataifa yanayotuzunguka,”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Watu wote watasikia na kuogopa, nao hawatakuwa wenye kudharau tena. 1 Mfalme
Cross References
Deuteronomy 7:1Bwana Mungu wako akuletapo katika nchi unayoingia kuimiliki, na awafukuzapo mbele yako mataifa mengi, yaani Wahiti, Wagirgashi, Waamori, Wakanaani, Waperizi, Wahivi na Wayebusi, mataifa saba makubwa tena yenye nguvu kuliko wewe,
Deuteronomy 12:9kwa kuwa bado hamjafikia mahali pa mapumziko na urithi ambao Bwana Mungu wenu anawapa.
Deuteronomy 26:1Mtakapokuwa mmeingia nchi ile ambayo Bwana Mungu wenu anawapa kama urithi na mtakapokuwa mmeimiliki na kukaa ndani yake,
Joshua 1:13“Kumbukeni agizo lile Mose mtumishi wa Bwana alilowapa: ‘ Bwana Mungu wenu anawapa ninyi raha, naye amewapa nchi hii.’
1 Samuel 8:19Lakini watu wakakataa kumsikiliza Samweli wakasema, “Hapana! Tunataka mfalme wa kututawala.
1 Samuel 12:19Watu wote wakamwambia Samweli, “Mwombe Bwana Mungu wako kwa ajili ya watumishi wako, ili tusije tukafa, kwa kuwa tumeongeza uovu juu ya dhambi zetu nyingine kwa kuomba mfalme.”