Kumbukumbu 18:22
Ikiwa kile nabii anachotangaza kwa jina la Bwana hakikutokea au kutimia, huo ni ujumbe ambao Bwana hakusema. Nabii huyo amesema kwa ujuaji. Msimwogope huyo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Mnaweza kuulizana wenyewe, “Tutawezaje kujua wakati ujumbe haukusemwa na Bwana?”
Cross References
Deuteronomy 13:1Kama nabii, au yule anayetabiri kwa njia ya ndoto, akijitokeza miongoni mwenu na akawatangazia ishara ya miujiza na ajabu,
1 Samuel 3:19Bwana alikuwa pamoja na Samweli alipokuwa akikua, na hakuacha hata moja ya maneno yake lianguke chini.
2 Kings 20:1Katika siku hizo, Hezekia akaugua, naye akawa karibu kufa. Nabii Isaya mwana wa Amozi akaenda kwake na kumwambia, “Hili ndilo asemalo Bwana: Tengeneza mambo ya nyumba yako, kwa sababu utakufa, hutapona.”
Isaiah 41:22“Leteni sanamu zenu zituambie 2 ni nini kitakachotokea. 1 Tuambieni mambo ya zamani yalikuwa nini, 2 ili tupate kuyatafakari 2 na kujua matokeo yake ya mwisho. 1 Au tutangazieni mambo yatakayokuja, 2
Jonah 3:4Siku ya kwanza, Yona aliingia mjini. Akatangaza: “Baada ya siku arobaini Ninawi utaangamizwa.”
Zechariah 1:5Wako wapi baba zako sasa? Nao manabii, je, wanaishi milele?