bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 19 › Kumbukumbu 19:5
Kumbukumbu 19:5
Kwa mfano, mtu aweza kwenda msituni na jirani yake kukata miti, naye anapozungusha shoka kuangusha mti, shoka linaweza kuchomoka kutoka kwenye mpini na kumpiga jirani yake na kumuua. Yule mtu anaweza kukimbilia katika mmojawapo ya miji hii na kuokoa maisha yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As when a man goeth into the wood with his neighbour to hew wood, and his hand fetcheth a stroke with the axe to cut down the tree, and the head slippeth from the helve, and lighteth upon his neighbour, that he die; he shall flee unto one of those cities, and live:
In Context
4Hii ndiyo kanuni kuhusu mtu amuuaye mwingine na kukimbilia humo kuokoa maisha yake, yaani, yeye amuuaye jirani yake bila kukusudia, wala hakumchukia kabla ya hapo.
6Kama sivyo, mlipiza kisasi cha damu anaweza kumfuatilia kwa hasira kali, naye akamkamata na kumuua kama umbali ni mrefu sana hata ingawa hastahili kifo, kwa sababu amemuua jirani yake bila kukusudia.
Read all of Kumbukumbu 19
Cross References
2 Kings 6:4Naye akaenda pamoja nao. Basi wakaenda Yordani, nao wakaanza kukata miti.
Proverbs 27:12Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, 2 bali mjinga huendelea mbele nayo ikamtesa. 1
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 19:5