bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 2 › Kumbukumbu 2:20
Kumbukumbu 2:20
(Hiyo pia ilidhaniwa kuwa nchi ya Warefai waliokuwa wakiishi huko, lakini Waamoni waliwaita Wazamzumi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
(That also was accounted a land of giants: giants dwelt therein in old time; and the Ammonites call them Zamzummims;
In Context
19Utakapokuja kwa Waamoni, msiwasumbue wala kuwachokoza kwa vita, kwa kuwa sitawapa ardhi yoyote iliyo ya Waamoni kuwa milki yenu. Nimeitoa kama milki ya wazao wa Loti.”
21Walikuwa watu wenye nguvu na wengi, warefu kama Waanaki. Bwana akawaangamiza kutoka mbele ya Waamoni, ambao waliwafukuza na kukaa mahali pao.
Read all of Kumbukumbu 2
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 2:20