Kumbukumbu 2:27
“Turuhusu tupite katika nchi yako. Tutapita katika barabara kuu, hatutageuka kuume wala kushoto.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Tuuzie chakula tule na maji tunywe kwa thamani yake katika fedha. Turuhusu tu tupite kwa miguu,
Cross References
Numbers 21:21Israeli akawatuma wajumbe kumwambia Sihoni mfalme wa Waamori:
Judges 11:19“Kisha Israeli wakatuma wajumbe kwa Sihoni mfalme wa Waamori, aliyetawala Heshboni, na kumwambia, ‘Tupe ruhusa kupita katika nchi yako ili kufikia mahali petu.’