The Bible Software
bible.softwareDeuteronomyDeuteronomy 22 › Deuteronomy 22:13

Deuteronomy 22:13

Ikiwa mtu atamwoa mke na, baada ya kufanya naye tendo la ndoa, akamchukia,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If any man take a wife, and go in unto her, and hate her,

In Context

12Fanya vishada kwenye pembe nne za joho unalovaa. 1 Kukiuka Taratibu Za Ndoa

14akimsingizia na kumwita jina baya, akisema, “Nilimwoa mwanamke huyu, lakini nilipomkaribia sikupata uthibitisho wa ubikira wake”

Read all of Deuteronomy 22

Cross References

Genesis 29:23Lakini ilipofika jioni, akamchukua Lea binti yake akampa Yakobo, naye Yakobo akakutana naye kimwili.

Deuteronomy 24:1Ikiwa mtu atamwoa mke na akamchukia kwa sababu ya kukosa adabu, naye akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza kutoka nyumbani kwake,

Ephesians 5:28Vivyo hivyo imewapasa waume kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Deuteronomy 22:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Deuteronomy 22:12Deuteronomy 22Deuteronomy 22:14 →