bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 22 › Kumbukumbu 22:25
Kumbukumbu 22:25
Lakini ikiwa itatokea mwanaume akakutana na msichana aliyeposwa huko mashambani, akambaka, mwanaume aliyefanya hivi peke yake ndiye atakayeuawa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But if a man find a betrothed damsel in the field, and the man force her, and lie with her: then the man only that lay with her shall die:
In Context
24utawachukua wote wawili kwenye lango la mji na kuwapiga kwa mawe mpaka wafe; yule msichana kwa kuwa alikuwa mjini na hakupiga kelele kuomba msaada, na yule mwanaume kwa sababu amemtenda jeuri mke wa mtu mwingine. Lazima mwondoe uovu katikati yenu.
26Usimtendee msichana yule jambo lolote; hajafanya dhambi inayostahili kifo. Shauri hili ni kama lile la yeyote ambaye anamshambulia na kumuua kwa makusudi jirani yake,
Read all of Kumbukumbu 22
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 22:25