Kumbukumbu 22:30
Mwanaume asimwoe mke wa baba yake; kamwe asidhalilishe kitanda cha baba yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A man shall not take his father’s wife, nor discover his father’s skirt.
In Context
Cross References
Leviticus 20:11“ ‘Kama mtu atakutana kimwili na mke wa baba yake, hakumheshimu baba yake. Mwanaume huyo na mwanamke huyo wote wauawe; damu yao itakuwa juu ya vichwa vyao wenyewe.
Ruth 3:9Akauliza, “Wewe ni nani?” Akajibu, “Ni mimi Ruthu, mjakazi wako. Uitande nguo yako juu yangu, kwa sababu wewe ndiwe jamaa wa karibu wa kutukomboa.”
1 Corinthians 5:1Yamkini habari imeenea ya kuwa miongoni mwenu kuna uzinzi ambao haujatokea hata miongoni mwa watu wasiomjua Mungu: Kwamba mtu anaishi na mke wa baba yake.