Kumbukumbu 23:10
Ikiwa mtu amechafuka kwa sababu ya kutokwa na shahawa usiku, inampasa atoke nje ya kambi na kukaa huko.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Unapokuwa umepiga kambi dhidi ya adui zako, jitenge na kitu chochote kisicho safi.
11Lakini jioni ikikaribia ataoga, na baada ya jua kuzama ataingia tena kambini.
Cross References
Leviticus 15:16“ ‘Wakati mtu akitokwa na shahawa, ni lazima aoge mwili mzima kwa maji, na atakuwa najisi mpaka jioni.
Joshua 6:18Lakini mjiepushe na vitu vilivyowekwa wakfu, msije mkachukua chochote katika hivyo, msije mkajiletea maangamizi katika maskani ya Israeli na kuiletea taabu.