The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 24 › Kumbukumbu 24:6

Kumbukumbu 24:6

Usitoe jozi ya mawe ya kusagia, hata ikiwa lile la juu, kuweka rehani kwa ajili ya deni, kwa sababu itakuwa ni kuweka uhai wa mtu kama dhamana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

No man shall take the nether or the upper millstone to pledge: for he taketh a man’s life to pledge.

In Context

5Kama mtu ameoa karibuni, kamwe asipelekwe vitani au kupewa wajibu mwingine wowote. Kwa mwaka mmoja atakuwa huru kubaki nyumbani ili amfurahishe mke aliyemwoa.

7Kama mtu akikamatwa akiiba yeyote miongoni mwa ndugu zake wa Waisraeli na kumtenda kama mtumwa au akimuuza, mwizi huyo ni lazima auawe. Nawe utaondoa uovu kutoka miongoni mwenu.

Read all of Kumbukumbu 24

Cross References

Genesis 44:30“Hivyo sasa, kama kijana hatakuwa pamoja nasi nitakaporudi kwa mtumishi wako baba yangu, na kama baba yangu, ambaye maisha yake yamefungamanishwa na uhai wa kijana huyu,

Deuteronomy 20:19Wakati mtakapouzunguka mji kwa vita kwa muda mrefu, mkipigana dhidi yake ili kuuteka, msiharibu miti yake kwa kuikata kwa shoka, kwa sababu mtaweza kula matunda yake. Hivyo msiikate. Je, miti hiyo ya mashambani ni watu, hata muizingire?

Revelation 18:22Nyimbo za wapiga vinubi na waimbaji, 2 wapiga filimbi na wapiga tarumbeta 2 kamwe hazitasikika tena ndani yako. 1 Ndani yako kamwe hataonekana tena fundi 2 mwenye ujuzi wa aina yoyote. 1 Wala sauti ya jiwe la kusagia 2 kamwe haitasikika tena. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 24:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 24:5Kumbukumbu 24Kumbukumbu 24:7 →