Kumbukumbu 25:11
Ikiwa watu wawili wanapigana na mke wa mmoja wao akaja kumwokoa mumewe na yule anayemshambulia, naye mke huyo akifika na kumkamata sehemu za siri,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Jamaa ya mtu huyo itafahamika katika Israeli kama Jamaa ya Aliyevuliwa Kiatu.
12huyo mwanamke utamkata mkono wake. Usimhurumie.
Cross References
Romans 3:8Nasi kwa nini tusiseme, kama wengine wanavyotusingizia kuwa tunasema, “Tutende maovu ili mema yapate kuja?” Wao wanastahili hukumu yao. 1 Wote Wametenda Dhambi