Kumbukumbu 26:13
Kisha umwambie Bwana Mungu wako: “Nimeondoa katika nyumba yangu ile sehemu iliyowekwa wakfu na nimempa Mlawi, mgeni, yatima na mjane, kulingana na yote uliyoamuru. Sijazihalifu amri zako wala kusahau hata mojawapo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 14:29ili Walawi (ambao hawana mashamba wala urithi wao wenyewe) na wageni, yatima na wajane wanaoishi kwenye miji yenu wapate kuja kula na kushiba, ili Bwana Mungu wenu apate kuwabariki ninyi katika kazi zote za mikono yenu.
Deuteronomy 26:12Wakati utakapokuwa umeshatoa zaka zote za mazao yako katika mwaka wa tatu, ambao ni mwaka wa zaka, utampa Mlawi, mgeni, yatima na mjane, ili waweze kula katika miji yenu na kushiba.
Psalms 18:21Kwa maana nimezishika njia za Bwana; 2 sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu. 1
Psalms 26:1Ee Bwana, nithibitishe katika haki, 2 maana nimeishi maisha yasiyo na lawama; 1 nimemtumainia Bwana 2 bila kusitasita. 1
Psalms 119:93Sitasahau mausia yako kamwe, 2 kwa maana kwayo umehifadhi maisha yangu. 1
Psalms 119:141Ingawa ni mdogo na ninadharauliwa, 2 sisahau mausia yako. 1