bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 28 › Kumbukumbu 28:14
Kumbukumbu 28:14
Usihalifu amri zangu zozote ninazokupa leo, kwa kwenda kuume au kushoto, kwa kufuata miungu mingine na kuitumikia. 1 Laana Kwa Kutokutii (Walawi 26:14-46)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And thou shalt not go aside from any of the words which I command thee this day, to the right hand, or to the left, to go after other gods to serve them.
In Context
13Bwana atakufanya kichwa, wala si mkia. Kama utazingatia maagizo ya Bwana Mungu wako ninayokupa siku hii ya leo na kuyafuata kwa bidii, daima utakuwa juu, kamwe hutakuwa chini.
15Hata hivyo, kama hutamtii Bwana Mungu wako na kuzishika kwa bidii amri zake zote na maagizo ninayokupa leo, laana hizi zote zitakuja juu yako na kukupata:
Read all of Kumbukumbu 28
Cross References
Deuteronomy 11:16Jihadharini, la sivyo mtashawishika kugeuka na kuabudu miungu mingine na kuisujudia.
Joshua 23:6“Kuweni hodari sana, kuweni waangalifu kutii yote yaliyoandikwa katika kitabu cha Sheria ya Mose, pasipo kugeuka upande wa kuume au kushoto.
Proverbs 4:26Sawazisha mapito ya miguu yako 2 na njia zako zote ziwe zimethibitika. 1
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 28:14