bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 28 › Kumbukumbu 28:5
Kumbukumbu 28:5
Kapu lako na vyombo vyako vya kukandia vitabarikiwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Blessed shall be thy basket and thy store.
In Context
4Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na mazao ya nchi yako na wanyama wako wachanga wa kufugwa, yaani ndama wa makundi yako ya ngʼombe, na wana-kondoo wa makundi yako.
6Utabarikiwa uingiapo na utabarikiwa utokapo.
Read all of Kumbukumbu 28
Cross References
Deuteronomy 28:17Kapu lako na chombo chako cha kukandia kitalaaniwa.
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 28:5