Kumbukumbu 28:68
Bwana atawarudisha tena Misri kwa meli, safari niliyosema kamwe hamngeenda tena. Huko mtajiuza ninyi wenyewe kwa adui zenu kama watumwa wa kiume na wa kike, lakini hakuna yeyote atakayewanunua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 20:2“Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekutoa Misri, kutoka nchi ya utumwa. 1
Nehemiah 5:8na kusema: “Kulingana na uwezo wetu, tumewakomboa ndugu zetu Wayahudi waliokuwa wameuzwa kwa watu wasioamini. Sasa mnawauza ndugu zenu, ili wauzwe tena kwetu!” Walinyamaza kimya, kwa sababu hawakupata chochote cha kusema.
Jeremiah 43:7Kwa hiyo wakaingia Misri kwa kutokumtii Bwana, wakaenda mpaka Tahpanhesi.
Hosea 8:13Wanatoa dhabihu nilizopewa mimi 2 nao wanakula hiyo nyama, 2 lakini Bwana hapendezwi nao. 1 Sasa ataukumbuka uovu wao 2 na kuadhibu dhambi zao: 2 Watarudi Misri. 1
Joel 3:3Wanawapigia kura watu wangu 2 na kuwauza wavulana ili kupata makahaba; 1 waliwauza wasichana 2 ili wapate kunywa mvinyo.