The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 29 › Kumbukumbu 29:22

Kumbukumbu 29:22

Watoto wako watakaofuata baada yako katika vizazi vya baadaye na wageni ambao watakuja kutoka nchi za mbali, wataona maafa, yaliyoipata nchi na magonjwa ambayo Bwana aliyaleta juu yake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

So that the generation to come of your children that shall rise up after you, and the stranger that shall come from a far land, shall say, when they see the plagues of that land, and the sicknesses which the LORD hath laid upon it;

In Context

21Bwana atamtwaa peke yake kutoka makabila ya Israeli kwa maangamizo, kulingana na laana zote za Agano zilizoandikwa kwenye Kitabu hiki cha Sheria.

23Nchi yote itakuwa jaa linaloungua la chumvi na kiberiti: hakutakuwa kilichopandwa, hakutakuwa kinachochipua, wala hakutakuwa mimea inayoota juu yake. Itakuwa kama maangamizo ya Sodoma na Gomora, Adma na Seboimu, ambazo Bwana aliangamiza kwa hasira kali.

Read all of Kumbukumbu 29

Cross References

Genesis 19:24Ndipo Bwana akanyesha moto wa kiberiti uliotoka mbinguni kwa Bwana juu ya Sodoma na Gomora.

Jeremiah 20:16Mtu huyo na awe kama miji ile 2 ambayo Bwana Mungu 2 aliiangamiza bila huruma. 1 Yeye na asikie maombolezo asubuhi 2 na kilio cha vita adhuhuri. 1

Hosea 11:8“Efraimu, ninawezaje kukuacha? 2 Ee Israeli, ninawezaje kukutoa? 1 Nitawezaje kukutendea kama Adma? 2 Nitawezaje kukufanya kama Seboimu? 1 Moyo wangu umegeuka ndani yangu, 2 huruma zangu zote zimeamshwa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 29:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 29:21Kumbukumbu 29Kumbukumbu 29:23 →