bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 3 › Kumbukumbu 3:19
Kumbukumbu 3:19
Lakini wake zenu, watoto wenu na mifugo yenu (kwani najua mnayo mifugo mingi) wanaweza kukaa katika miji niliyowapa,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But your wives, and your little ones, and your cattle, ( for I know that ye have much cattle,) shall abide in your cities which I have given you;
In Context
18Wakati huo nilikuamuru: “ Bwana Mungu wako amekupa nchi hii uimiliki. Lakini ni lazima wanaume wenu wote wenye uwezo, wakiwa wamejiandaa tayari kwa vita, wavuke ngʼambo wakiwatangulia ndugu zako Waisraeli.
20mpaka hapo Bwana atakapowapa ndugu zenu kupumzika kama alivyowapa ninyi, wao pia wamiliki ile nchi ambayo Bwana Mungu wenu anawapa, ngʼambo ya Yordani. Baada ya hapo, kila mmoja wenu anaweza kurudi kwenye milki niliyowapa.” 1 Mose Akatazwa Kuvuka Yordani
Read all of Kumbukumbu 3
Cross References
Numbers 32:26Watoto na wake zetu, makundi ya mbuzi na kondoo, na makundi ya ngʼombe zetu, watabaki hapa katika miji ya Gileadi.
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 3:19