Kumbukumbu 3:22
Msiwaogope, Bwana Mungu wenu atapigana kwa ajili yenu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Ye shall not fear them: for the LORD your God he shall fight for you.
In Context
Cross References
Exodus 14:14Bwana atawapigania ninyi, nanyi mnatakiwa kutulia tu.”
Numbers 21:34Bwana akamwambia Mose, “Usimwogope Ogu, kwa sababu nimeshamkabidhi mikononi mwako, pamoja na jeshi lake lote na nchi yake. Mtendee kama ulivyomtendea Sihoni mfalme wa Waamori, ambaye alitawala huko Heshboni.”
Deuteronomy 20:4Kwa kuwa Bwana Mungu wenu ndiye huenda pamoja nanyi kuwapigania dhidi ya adui zenu na kuwapatia ushindi.”
Joshua 23:10Mtu mmoja miongoni mwenu anafukuza watu elfu, kwa kuwa Bwana Mungu wenu anawapigania, kama alivyoahidi.
2 Chronicles 20:17Hamtahitaji kupigana vita hivi. Kaeni kwenye nafasi zenu, simameni imara na mkaone wokovu Bwana atakaowapatia, enyi Yuda na Yerusalemu. Msiogope, wala msifadhaike. Kesho tokeni mwende mkawakabili, naye Bwana atakuwa pamoja nanyi.’ ”
Psalms 44:3Sio kwa upanga wao waliipata nchi, 2 wala si mkono wao uliwapatia ushindi; 1 ilikuwa ni kitanga cha mkono wako wa kuume, 2 na nuru ya uso wako, 2 kwa kuwa uliwapenda. 1