bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 3 › Kumbukumbu 3:25
Kumbukumbu 3:25
Acha niende nikaione hiyo nchi nzuri ngʼambo ya Yordani, ile nchi nzuri ya vilima na Lebanoni.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I pray thee, let me go over, and see the good land that is beyond Jordan, that goodly mountain, and Lebanon.
In Context
24“Ee Bwana Mwenyezi, umemwonyesha mtumishi wako ukuu wako na mkono wako wenye uweza. Kwa kuwa ni mungu yupi aliye mbinguni au duniani anayeweza kufanya kazi na matendo makuu kama ufanyayo wewe?
26Lakini kwa sababu yenu Bwana alinikasirikia na hakutaka kunisikiliza. Bwana aliniambia, “Hilo latosha; usiseme nami jambo hili tena.
Read all of Kumbukumbu 3
Cross References
Numbers 32:5Kama tumepata kibali mbele ya macho yako, nchi hii na ipewe watumishi wako kama milki yetu. Usitufanye tuvuke Yordani.”
Deuteronomy 11:11Lakini nchi mnayovuka Yordani kuimiliki ni nchi ya milima na mabonde inywayo mvua kutoka mbinguni.
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 3:25