Kumbukumbu 30:4
Hata kama umefukuziwa katika nchi ya mbali kiasi gani chini ya mbingu, kutoka huko Bwana Mungu wako atakukusanya na kukurudisha.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 8:34basi usikie kutoka mbinguni, ukasamehe dhambi ya watu wako Israeli na kuwarudisha katika nchi uliyowapa baba zao.
Nehemiah 1:9lakini mkinirudia na kutii amri zangu, ndipo hata kama watu wenu walio uhamishoni wako mbali sana katika miisho ya dunia, nitawakusanya kutoka huko na kuwaleta mahali ambapo nimepachagua kuwa makao kwa ajili ya Jina langu.’
Isaiah 27:12Katika siku ile Bwana atapura kutoka matiririko ya Mto Frati hadi Kijito cha Misri, nanyi ee Waisraeli, mtakusanywa mmoja mmoja.
Ezekiel 36:24“ ‘Kwa kuwa nitawaondoa ninyi toka mataifa, nitawakusanya kutoka nchi zote na kuwarudisha kwenye nchi yenu wenyewe.
Zephaniah 3:19Wakati huo nitawashughulikia 2 wote waliokudhulumu; 1 nitaokoa vilema na kukusanya 2 wale ambao wametawanywa. 1 Nitawapa sifa na heshima 2 katika kila nchi ambayo waliaibishwa. 1