The Bible Software
bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 31 › Kumbukumbu 31:30

Kumbukumbu 31:30

Mose akayasoma maneno ya wimbo huu kutoka mwanzo hadi mwisho katika masikio ya kusanyiko lote la Israeli:

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Moses spake in the ears of all the congregation of Israel the words of this song, until they were ended.

In Context

29Kwa kuwa ninajua baada ya kifo changu hakika mtakuwa waovu kabisa na kugeuka kutoka njia niliyowaamuru ninyi. Katika siku zijazo, maafa yatawapata kwa sababu mtafanya maovu mbele ya macho ya Bwana, na kuchochea hasira yake kwa yale mikono yenu itakayokuwa imefanya.” 1 Wimbo Wa Mose

Read all of Kumbukumbu 31

Cross References

Deuteronomy 31:1Kisha Mose akaenda akasema maneno haya kwa Waisraeli wote:

2 Samuel 22:1Daudi alimwimbia Bwana maneno ya wimbo huu wakati Bwana alipomwokoa mikononi mwa adui zake wote, na pia mkononi mwa Sauli.

Acts 20:27Kwa kuwa sikusita kuwatangazia mapenzi yote ya Mungu.

Hebrews 3:5Basi Mose kama mtumishi alikuwa mwaminifu katika nyumba yote ya Mungu, akishuhudia kwa yale ambayo yangetamkwa baadaye.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 31:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 31:29Kumbukumbu 31