The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 33 › Kumbukumbu 33:3

Kumbukumbu 33:3

Hakika ni wewe ambaye huwapenda watu, 2 watakatifu wako wote wamo mkononi mwako. 1 Miguuni pako wote wanasujudu 2 na kutoka kwako wanapokea mafundisho, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Yea, he loved the people; all his saints are in thy hand: and they sat down at thy feet; every one shall receive of thy words.

In Context

2Alisema: 1 “ Bwana alikuja kutoka Mlima Sinai, 2 akachomoza kama jua juu yao 2 kutoka Mlima Seiri, 2 akaangaza kutoka Mlima Parani. 1 Alikuja pamoja na watakatifu makumi elfu 2 kutoka kusini, 2 kutoka materemko ya mlima wake. 1

4sheria ile Mose aliyotupa sisi, 2 tulio milki ya kusanyiko la Yakobo. 1

Read all of Kumbukumbu 33

Cross References

Deuteronomy 7:6Kwa kuwa wewe ni taifa takatifu kwa Bwana Mungu wako. Bwana Mungu wako amekuchagua wewe kutoka mataifa yote juu ya uso wa dunia kuwa watu wake, hazina yake ya thamani.

Deuteronomy 14:2kwa maana ninyi ni taifa takatifu kwa Bwana Mungu wenu. Bwana amewachagua ninyi kuwa taifa la kipekee kutoka mataifa yote juu ya uso wa dunia, mwe tunu yake.

Psalms 31:15Siku za maisha yangu ziko mikononi mwako, 2 uniokoe mikononi mwa adui zangu 2 na wale wanifuatiao. 1

Psalms 50:5“Nikusanyieni watu wangu waliowekwa wakfu, 2 waliofanya agano nami kwa dhabihu.” 1

Proverbs 2:1Mwanangu, kama utayakubali maneno yangu 2 na kuyaweka akiba maagizo yangu ndani mwako, 1

Jeremiah 31:3Bwana alitutokea wakati uliopita, akisema: 1 “Nimekupenda kwa upendo wa milele, 2 nimekuvuta kwa wema. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 33:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 33:2Kumbukumbu 33Kumbukumbu 33:4 →