Kumbukumbu 34:2
Naftali yote, nchi ya Efraimu na Manase, nchi yote ya Yuda mpaka bahari ya magharibi, + 34:2 Yaani Bahari ya Mediterania.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Negebu na nchi yote kuanzia Bonde la Yeriko, Mji wa Mitende, hadi Soari.
Cross References
Numbers 34:6“ ‘Mpaka wenu wa magharibi utakuwa Bahari ya Kati. Huu utakuwa mpaka wenu upande wa magharibi.
Joshua 15:12Mpaka wa magharibi ni pwani ya Bahari Kuu. Hii ndiyo mipaka ya watu wa Yuda kwa koo zao. 1 Nchi Aliyopewa Kalebu (Waamuzi 1:11-15)