bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 4 › Kumbukumbu 4:14
Kumbukumbu 4:14
Naye Bwana alinielekeza wakati huo kuwafundisha ninyi sheria na amri ambazo mnapaswa kuzifuata katika nchi ambayo mnavuka Yordani kuimiliki. 1 Kuabudu Sanamu Kwakatazwa
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD commanded me at that time to teach you statutes and judgments, that ye might do them in the land whither ye go over to possess it.
In Context
13Aliwatangazia Agano lake na Amri Kumi, ambazo aliwaamuru mzifuate, kisha akaziandika juu ya vibao viwili vya mawe.
15Hamkuona umbo la aina yoyote siku ambayo Bwana alizungumza nanyi kule Horebu kutoka kwenye moto. Kwa hiyo mjihadhari kwa uangalifu sana,
Read all of Kumbukumbu 4
Cross References
Exodus 21:1“Hizi ndizo sheria utakazoweka mbele ya Waisraeli:
Psalms 105:44akawapa nchi za mataifa, wakawa warithi 2 wa mali wengine walikuwa wameitaabikia: 1
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 4:14