Kumbukumbu 4:17
au kama mnyama aliye juu ya nchi au ndege yeyote arukaye angani,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18au kama kiumbe kitambaacho juu ya ardhi au samaki yeyote aliye ndani ya maji.
Cross References
Romans 1:23na kubadili utukufu wa Mungu aishiye milele kwa sanamu zilizofanywa zifanane na mwanadamu ambaye hufa, na mfano wa ndege, wanyama na viumbe vitambaavyo.