bible.software › Kumbukumbu › Kumbukumbu 4 › Kumbukumbu 4:41
Kumbukumbu 4:41
Kisha Mose akatenga miji mitatu mashariki ya Yordani,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then Moses severed three cities on this side Jordan toward the sunrising;
In Context
40Mshike amri na maagizo yake ninayowapa leo, ili mpate kufanikiwa ninyi na watoto wenu baada yenu, na mpate kuishi maisha marefu katika nchi awapayo Bwana Mungu wenu siku zote. 1 Miji Ya Makimbilio
42ambayo mtu yeyote aliyemuua mtu angeweza kukimbilia ikiwa amemuua jirani yake bila kukusudia na bila kuwa na chuki naye siku zilizopita. Angeweza kukimbilia katika mmojawapo ya miji hii na kuokoa maisha yake.
Read all of Kumbukumbu 4
Cross References
Numbers 35:14Mtatoa miji mitatu ngʼambo hii ya Yordani na miji mingine mitatu upande wa Kanaani kama miji ya makimbilio.
Deuteronomy 19:7Hii ndiyo sababu nimewaagiza ninyi kutenga miji mitatu ya makimbilio kwa ajili yenu.
Joshua 20:2“Waambie Waisraeli, watenge miji mikubwa ya kukimbilia, kama nilivyokuagiza kupitia Mose,
This Verse In Other Editions
Study Kumbukumbu 4:41