Kumbukumbu 4:45
Haya ndiyo masharti, amri na sheria Mose aliyowapa wana wa Israeli wakati walitoka Misri,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
44Hii ndiyo sheria Mose aliyoweka mbele ya Waisraeli.
Cross References
Deuteronomy 4:1Sikia sasa, ee Israeli, amri na sheria nitakazokufundisha wewe. Zifuate ili upate kuishi na uingie kuimiliki nchi ambayo Bwana, Mungu wa baba zako anawapa.
Deuteronomy 6:20Siku zijazo, mtoto wako atakapokuuliza, “Ni nini maana ya masharti haya, amri na sheria hizi ambazo Bwana Mungu wako alikuagiza wewe?”
Psalms 119:2Heri wale wanaozishika shuhuda zake, 2 wamtafutao kwa moyo wao wote. 1
Psalms 119:7Nitakusifu kwa moyo mnyofu 2 ninapojifunza sheria zako za haki. 1
Psalms 119:22Niondolee dharau na dhihaka, 2 kwa kuwa ninazishika sheria zako. 1
Psalms 119:111Sheria zako ni urithi wangu milele, 2 naam ni furaha ya moyo wangu. 1