Kumbukumbu 6:12
jihadhari usije ukamwacha Bwana, aliyekutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Utamcha Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake na kuapa kwa jina lake.
Cross References
Exodus 13:14“Katika siku zijazo, mwanao akikuuliza, ‘Hii ina maana gani?’ Mwambie, ‘Kwa mkono wenye nguvu Bwana alitutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Deuteronomy 4:23Jihadharini msilisahau Agano la Bwana Mungu wenu lile alilofanya nanyi; msijitengenezee sanamu katika umbo la kitu chochote ambacho Bwana Mungu wenu amewakataza.
Deuteronomy 32:18Mkamwacha Mwamba, aliyewazaa ninyi; 2 mkamsahau Mungu aliyewazaa. 1
2 Kings 17:36Bali imewapasa kumwabudu Bwana aliyewapandisha kutoka Misri kwa uwezo wake mkuu na kwa mkono wake ulionyooshwa. Kwake yeye mtasujudu na kwake yeye mtatoa dhabihu.
Job 8:13Huu ndio mwisho wa watu wote wanaomsahau Mungu; 2 vivyo hivyo matumaini ya wasiomjali Mungu huangamia. 1
Psalms 78:7Ndipo wangeweka tumaini lao kwa Mungu, 2 nao wasingesahau matendo yake, 2 bali wangalizishika amri zake. 1