Kumbukumbu 6:25
Kama tukizitii kwa bidii amri hizi zote mbele za Bwana Mungu wetu, kama alivyotuamuru sisi, hiyo itakuwa haki yetu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 18:5Zishikeni amri zangu na sheria zangu, kwa maana mtu anayezitii ataishi kwa hizo. Mimi ndimi Bwana.
Psalms 78:7Ndipo wangeweka tumaini lao kwa Mungu, 2 nao wasingesahau matendo yake, 2 bali wangalizishika amri zake. 1
Psalms 119:6Hivyo mimi sitaaibishwa 2 ninapozingatia amri zako zote. 1
Ezekiel 18:9Huzifuata amri zangu 2 na kuzishika sheria zangu kwa uaminifu. 1 Huyo mtu ni mwenye haki; 2 hakika ataishi, 4 asema Bwana Mwenyezi.
Luke 10:28Yesu akamwambia, “Umejibu vyema. Fanya hivyo nawe utaishi.”
Romans 10:5Mose anaandika kuhusu haki ile itokanayo na sheria, kwamba, “Mtu atendaye matendo hayo ataishi kwa hayo.”