The Bible Software
bible.softwareKumbukumbuKumbukumbu 7 › Kumbukumbu 7:23

Kumbukumbu 7:23

Lakini Bwana Mungu wenu atawatia watu hao mikononi mwenu, akiwatia katika kuchanganyikiwa kukubwa mpaka wawe wameangamizwa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But the LORD thy God shall deliver them unto thee, and shall destroy them with a mighty destruction, until they be destroyed.

In Context

22Bwana Mungu wenu atawafukuza mataifa hayo mbele yenu kidogo kidogo. Hamtaruhusiwa kuwaondoa wote kwa mara moja, la sivyo wanyama mwitu wataongezeka na kuwa karibu nanyi.

24Atawatia wafalme wao mikononi mwenu, nanyi mtayafuta majina yao chini ya mbingu. Hakuna hata mmoja atakayeweza kusimama dhidi yenu bali mtawaangamiza.

Read all of Kumbukumbu 7

Cross References

Deuteronomy 8:20Kama mataifa Bwana aliyoyaangamiza mbele yenu, ndivyo ninyi mtakavyoangamizwa kwa kutokumtii Bwana Mungu wenu.

Deuteronomy 31:5Bwana atawakabidhi kwenu, nanyi lazima mwatendee yale yote niliyowaamuru.

Isaiah 13:6Ombolezeni, kwa maana siku ya Bwana i karibu, 2 itakuja kama uharibifu kutoka kwa Mwenyezi. + 13:6 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1

Joel 1:15Ole kwa siku hiyo! 2 Kwa kuwa siku ya Bwana iko karibu; 1 itakuja kama uharibifu 2 kutoka kwa Mwenyezi. + 1:15 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kumbukumbu 7:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kumbukumbu 7:22Kumbukumbu 7Kumbukumbu 7:24 →