The Bible Software
bible.softwareDeuteronomyDeuteronomy 9 › Deuteronomy 9:13

Deuteronomy 9:13

Naye Bwana akaniambia, “Nimewaona watu hawa nao ni watu wenye shingo ngumu sana!

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Furthermore the LORD spake unto me, saying, I have seen this people, and, behold, it is a stiffnecked people:

In Context

12Kisha Bwana akaniambia, “Shuka chini mara moja, kwa sababu watu wako ambao umewatoa katika nchi ya Misri wamepotoka. Wamegeukia mbali haraka kutoka lile nililowaagiza, wamejitengenezea sanamu ya kusubu.”

14Niache, ili nipate kuwaangamiza na kufuta jina lao kutoka chini ya mbingu. Nami nitakufanya kuwa taifa lenye nguvu zaidi na kuwa wengi kuliko wao.”

Read all of Deuteronomy 9

Cross References

Genesis 18:21kwamba nitashuka nione kama waliyoyatenda ni mabaya kiasi cha kilio kilichonifikia. Kama sivyo, nitajua.”

Deuteronomy 9:6Basi mjue, si kwa sababu ya haki yenu Bwana Mungu wenu anawapa nchi hii nzuri kuimiliki, kwa kuwa ninyi ni taifa lenye shingo ngumu. 1 Ndama Ya Dhahabu

Deuteronomy 31:27Kwa kuwa ninajua jinsi mlivyo waasi na mlivyo na shingo ngumu. Kama mmekuwa mkiasi dhidi ya Bwana nikiwa bado niko hai na nikiwa pamoja nanyi, mtaasi mara ngapi baada ya kufa kwangu!

Psalms 50:7“Sikieni, enyi watu wangu, nami nitasema, 2 ee Israeli, nami nitashuhudia dhidi yenu: 2 Mimi ndimi Mungu, Mungu wenu. 1

Jeremiah 13:27uzinzi wako na kulia kwako kama farasi kulikojaa tamaa, 2 ukahaba wako usio na aibu! 1 Nimeyaona matendo yako ya machukizo 2 juu ya vilima na mashambani. 1 Ole wako, ee Yerusalemu! 2 Utaendelea kuwa najisi mpaka lini?”

Malachi 3:5“Basi nitakuja karibu nanyi ili kuhukumu. Nami nitakuwa mwepesi kushuhudia dhidi ya wachawi, wazinzi, waapao kwa uongo, wanaopunja vibarua malipo yao, wanaowaonea wajane na yatima, na wanaowanyima wageni haki, lakini hawaniogopi mimi,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Kumwibia Mungu

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Deuteronomy 9:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Deuteronomy 9:12Deuteronomy 9Deuteronomy 9:14 →