Kumbukumbu 9:23
Vilevile wakati Bwana alipowatuma kutoka Kadesh-Barnea, alisema, “Kweeni, mkaimiliki nchi ambayo nimewapa.” Lakini mliasi dhidi ya agizo la Bwana Mungu wenu. Hamkumtegemea wala kumtii.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Pia mlimkasirisha Bwana huko Tabera, Masa na Kibroth-Hataava.
24Mmekuwa waasi dhidi ya Bwana tangu nilipowajua ninyi.
Cross References
Numbers 13:1Bwana akamwambia Mose,
Numbers 14:2Waisraeli wote wakanungʼunika dhidi ya Mose na Aroni, nalo kusanyiko lote wakawaambia, “Laiti tungekuwa tumefia humo nchi ya Misri! Au humu kwenye hili jangwa!
Numbers 14:10Lakini kusanyiko lote likazungumza juu ya kuwapiga kwa mawe. Ndipo utukufu wa Bwana ukaonekana katika Hema la Kukutania kwa Waisraeli wote.
Deuteronomy 1:19Kisha, kama Bwana Mungu wetu alivyotuamuru, tuliondoka kutoka Horebu na kwenda kuelekea nchi ya vilima ya Waamori, kupitia jangwa lile kubwa lote la kutisha, lile mliloliona, nasi tukafika Kadesh-Barnea.
Psalms 106:24Kisha waliidharau ile nchi nzuri, 2 hawakuiamini ahadi yake. 1
Hebrews 3:18Ni nani hao ambao Mungu aliapa kuwa kamwe hawataingia rahani mwake isipokuwa ni wale waliokataa kutii?