Mhubiri 7:23
Yote haya niliyajaribu kwa hekima, nikasema, 1 “Nimeamua kuwa na hekima”: 2 lakini hii ilikuwa nje ya uwezo wangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
All this have I proved by wisdom: I said, I will be wise; but it was far from me.
In Context
22kwa kuwa unafahamu moyoni mwako 2 kwamba wewe mwenyewe mara nyingi 2 umewalaani wengine.
24Vyovyote hekima ilivyo, 2 hekima iko mbali sana na imejificha, 2 ni nani awezaye kuigundua? 1
Cross References
1 Kings 3:11Basi Mungu akamwambia, “Kwa kuwa umeomba neno hili na hukuomba maisha marefu au upate utajiri kwa nafsi yako, wala adui zako wafe, bali umeomba ufahamu katika kutoa haki,
Ecclesiastes 1:17Ndipo nilipojitahidi kufahamu kutofautisha hekima, wazimu na upumbavu, lakini nikatambua hata hili nalo ni kukimbiza upepo. 1
1 Corinthians 1:20Yuko wapi mwenye hekima? Yuko wapi msomi? Yuko wapi mwanafalsafa wa nyakati hizi? Je, Mungu hakufanya hekima ya ulimwengu huu kuwa upumbavu?