Mhubiri 9:8
Daima uvae nguo nyeupe na daima upake kichwa chako mafuta.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let thy garments be always white; and let thy head lack no ointment.
In Context
Cross References
Ruth 3:3Basi oga na ukajipake marashi, ujivalie nguo zako nzuri. Kisha uende kwenye sakafu ya kupuria, lakini angalia asijue kwamba upo pale mpaka atakapomaliza kula na kunywa.
2 Samuel 19:24Pia Mefiboshethi mwana wa Sauli akashuka kwenda kumlaki mfalme. Hakuwa amenawa miguu wala kunyoa ndevu zake wala kufua nguo zake tangu siku mfalme alipoondoka Yerusalemu mpaka siku aliporudi ile salama.
Psalms 23:5Waandaa meza mbele yangu 2 machoni pa adui zangu. 1 Umenipaka mafuta kichwani pangu, 2 kikombe changu kinafurika. 1
Amos 6:6Mnakunywa mvinyo kwa bakuli zilizojazwa, 2 na mnajipaka mafuta mazuri, 2 lakini hamhuzuniki kwa maangamizi ya Yosefu. 1
Luke 7:46Hukunipaka mafuta kichwani mwangu, lakini yeye ameipaka miguu yangu manukato.
Revelation 7:9Baada ya hili nikatazama na hapo mbele yangu palikuwa na umati mkubwa wa watu ambao hakuna yeyote awezaye kuuhesabu, kutoka kila taifa, kila kabila, kila jamaa na kila lugha, wamesimama mbele ya kile kiti cha enzi na mbele ya Mwana-Kondoo. Walikuwa wamevaa mavazi meupe na wakiwa wameshika matawi ya mitende mikononi mwao.