Waefeso 2:3
Sisi sote pia tuliishi katikati yao hapo zamani, tukitimiza tamaa za asili yetu ya dhambi na kufuata tamaa zake na mawazo yake. Nasi kwa asili tulikuwa wana wa ghadhabu, kama mtu mwingine yeyote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Lakini Mungu kwa upendo wake mwingi kwetu sisi, ambaye ni mwingi wa rehema,
Cross References
Genesis 6:5Bwana akaona jinsi uovu wa mwanadamu ulivyokuwa mkubwa duniani, na ya kuwa kila mwelekeo wa mawazo ya moyo wake wakati wote ulikuwa mbaya tu.
Job 14:4Ni nani awezaye kutoa kitu safi kutoka kitu najisi? 2 Hakuna awezaye! 1
Job 25:4Mtu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu? 2 Awezaje mtu aliyezaliwa na mwanamke kuwa safi? 1
Isaiah 53:6Sisi sote, kama kondoo, tumepotea, 2 kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe, 1 naye Bwana aliweka juu yake 2 maovu yetu sisi sote. 1
Daniel 9:5tumetenda dhambi na kufanya mabaya. Tumekuwa waovu na tumeasi; tumegeuka mbali na maagizo yako na sheria zako.
Mark 7:21Kwa maana kutoka ndani ya moyo wa mtu hutoka mawazo mabaya, uasherati, wizi, uuaji, uzinzi,