Waefeso 3:14
Kwa sababu hiyo, nampigia magoti Baba,
Biblia Takatifu
In The King James Version
For this cause I bow my knees unto the Father of our Lord Jesus Christ,
In Context
15aliye asili ya jamaa zote duniani na mbinguni.
Cross References
Luke 22:41Kisha akawaacha, akaenda umbali wa mtu kuweza kutupa jiwe, akapiga magoti, akasali:
Acts 9:40Petro aliwatoa nje wote, akapiga magoti, akasali. Kisha akamgeukia yule maiti, akasema, “Tabitha, amka” Naye akafumbua macho yake na alipomwona Petro, akaketi.
Acts 21:5Lakini muda wetu ulipokwisha tuliondoka. Wote pamoja na wanawake na watoto wao walitusindikiza mpaka nje ya mji. Tulipofika pwani, sote tulipiga magoti tukasali.