Waefeso 3:16
Namwomba Mungu, kadiri ya utajiri wa utukufu wake, awajalieni kwa uwezo wa Roho wake, nguvu ya kuwa imara ndani yenu,
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
15aliye asili ya jamaa zote duniani na mbinguni.
17naye Kristo akae mioyoni mwenu kwa imani. Namwomba mpate kuwa na mzizi na msingi katika mapendo
Cross References
Matthew 6:13Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu. is Baadhi ya makala za zamani zina; Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.
Romans 7:22Ndani kabisa katika moyo wangu naifurahia sheria ya Mungu.
1 Corinthians 16:13Kesheni, simameni imara katika imani, muwe hodari na wenye nguvu.