Waefeso 4:2
Kwa unyenyekevu wote na upole, mkiwa wavumilivu, mkichukuliana kwa upendo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
With all lowliness and meekness, with longsuffering, forbearing one another in love;
In Context
1Basi, mimi niliye mfungwa wa Bwana, nawasihi mwenende kama inavyostahili wito wenu mlioitiwa.
3Jitahidini kudumisha umoja wa Roho katika kifungo cha amani.
Cross References
Numbers 12:3(Basi Mose alikuwa mtu mnyenyekevu sana, mnyenyekevu kuliko mtu mwingine yeyote katika uso wa dunia.)
Psalms 138:6Ingawa Bwana yuko juu, 2 humwangalia mnyonge, 1 bali mwenye kiburi 2 yeye anamjua kutokea mbali. 1
Proverbs 16:19Ni afadhali kuwa mnyenyekevu katika roho 2 miongoni mwa walioonewa 2 kuliko kugawana nyara pamoja na wenye kiburi. 1
Isaiah 61:1Roho wa Bwana Mwenyezi yu juu yangu, 2 kwa sababu Bwana amenitia mafuta 2 kuwahubiria maskini habari njema. 1 Amenituma kuwaganga waliovunjika moyo, 2 kuwatangazia mateka uhuru wao, 1 na hao waliofungwa 2 habari za kufunguliwa kwao; 1
Zechariah 9:9Shangilia sana, ee Binti Sayuni! 2 Piga kelele, Binti Yerusalemu! 1 Tazama, Mfalme wako anakuja kwako, 2 ni mwenye haki, naye ana wokovu, 2 ni mpole, naye amepanda punda, 2 mwana-punda, mtoto wa punda. 1
Matthew 11:29Jifungeni nira yangu, mjifunze kutoka kwangu, kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu.