Waefeso 4:23
Jirekebisheni upya rohoni na katika fikira zenu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And be renewed in the spirit of your mind;
In Context
Cross References
Romans 8:6Fikira za mwili huleta kifo; fikira za Roho huleta uzima na amani.
Ephesians 2:10Sisi ni viumbe vyake Mungu, na kwa kuungana na Kristo Yesu, alituumba kwa ajili ya kuishi maisha ya matendo mema aliyotutayarishia tuyatende.
Titus 3:5alituokoa. alituokoa si kwa sababu ya jambo lolote jema tulilotenda sisi, bali alituokoa kwa sababu ya huruma yake, kwa njia ya Roho Mtakatifu anayetujalia tuzaliwe upya na kuwa na maisha mapya kwa kutuosha kwa maji.