Waefeso 4:6
kuna Mungu mmoja na Baba wa wote, ambaye yuko juu ya wote, afanya kazi katika yote na yuko katika yote.
Biblia Takatifu
In The King James Version
One God and Father of all, who is above all, and through all, and in you all.
In Context
5Kuna Bwana mmoja, imani moja na ubatizo mmoja;
7Kila mmoja wetu amepewa neema kadiri ya kipimo alichojaliwa na Kristo.
Cross References
Matthew 6:9Basi, hivi ndivyo mnavyopaswa kusali: Baba yetu uliye mbinguni: Jina lako litukuzwe.